Home » » Mwanamuziki Linex Sunday kuonekana ndani ya filamu mpya ya aunty Ezekiel - 'Mwajuma'

Mwanamuziki Linex Sunday kuonekana ndani ya filamu mpya ya aunty Ezekiel - 'Mwajuma'

Written By Unknown on Thursday, 28 November 2013 | 04:31



Msanii Linex Sunday Mjeda aka The V.O.A ameamua kufungua ukurasa wa pili wa kipaji ambacho hajawahi kukionesha cha uigizaji, hivi karibuni ataonekana katika filamu mpya ya muigizaji wa bongo movie Aunty Ezekiel inayoitwa ‘MWAJUMA’.
Kwa mujibu wa tovuti ya Bongohood Live, linex ameeleza kuwa  filamu ya Mwajuma inahusu mwanadada aliyekuwa na maisha ya chini akiwa mama ntilie na baadae kuja kufanikiwa na kuanza maisha ya kihuni hususani kubadilisha wanaume kama nguo
Filamu hii inatarajiwa kutoma mwishoni mwa mwezi ujao
Share this article :

No comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Bongowood Live - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website
Proudly powered by Blogger