Home » » Huyu ndiye Director aliyefukuzwa kazi na Wema Sepetu kwa kufanya uzinzi ndani ya gari

Huyu ndiye Director aliyefukuzwa kazi na Wema Sepetu kwa kufanya uzinzi ndani ya gari

Written By Unknown on Thursday, 28 November 2013 | 04:17

Hivi karibuni kulikuwa na taarifa kuwa mwanadada Wema Sepetu ameamua kumtimua  aliyekuwa director wake maarufu kwa jina la Chid ni ufuska uliokubuhu wa director huyo ambaye alikuwa akitumia magari ya Wema Sepetu kama gest ya kumaliza haja zake. 
Wema aliamua kuchukua maamuzi hayo magumu ili kunusuru kashfa kubwa ambayo ingeweza kuikumba kampuni yake.

Kwa mujibu wa tovuti ya bongoclantz ya kupata taarifa hizo Wema aliamua kumtimua Chid kwenye kampuni yake ili kulinda heshima ya kampuni hiyo ambapo Chid na vijana wengine walikuwa wakitumia gari hiyo kung'olea watoto wakali na kuwachapa ndani ya gari hiyo.

"Hii ilitokana na upendo wa mashabiki kwa Wema na wasichana wengi walikuwa wakiiona ile gari wanaingia wenyewe kwenye gari wakidhani ndani yuko Wema, hivyo ilikuwa ni nafasi nzuri kwa Chid na wenzake kuwamaliza wasichana hao
Share this article :

No comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Bongowood Live - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website
Proudly powered by Blogger