Powered by Blogger.

Latest Post

Wema Sepetu arudi kwenye mitandao ya kijamii kwa mara ya kwanza baada ya msiba.

Written By Unknown on Thursday 28 November 2013 | 04:43


Leo hii mwanadada wema sepetu ameoneka akipost kitu kwa mara ya kwanza kwenye mitandao ya kijamii baada ya muda mrefu toka msiba wa baba yake ulipotokea hivi karibuni
Katika post hiyo Wema amewataka “Teamwema” wapunguze jazba juu yanayotokea juu yake na kuwasihi kuwa wapunguze kutumia lugha ya matusi kwenye mitandao hiyo maana wanamuumiza ‘madame’
Ujumbe wake unasomeka kama ifuatavyo….
"...my darlings... im still grieving... i know you guys miss me... nd i miss you more... im jus still nat okay... but im right here... nipo pamoja na nyinyi... muda tu kidogo... dats all im asking for... nawapenda... saana kupita maelezo... im gone be baq... very soon... i promise... its jus dat sipo sawa. .. but inshallah... ntakuwa sawa... inshallah... its hard... i hope mnanielewa... i repeat nawapenda mno... mno... more dan u think... u kip me goin... u make me who iam... sema tu msifanye vile basi... msitukane... me mwenzenu bado im nat okay... alafu mnaniongezea matatizo... mi spendi... all in all i still love you guys... basi msinikere... sawa... sometimes its best to jus keep quiet... okay.... much love... P.S: Iam a father's daughter...♡♡♡

Mwanamuziki Linex Sunday kuonekana ndani ya filamu mpya ya aunty Ezekiel - 'Mwajuma'



Msanii Linex Sunday Mjeda aka The V.O.A ameamua kufungua ukurasa wa pili wa kipaji ambacho hajawahi kukionesha cha uigizaji, hivi karibuni ataonekana katika filamu mpya ya muigizaji wa bongo movie Aunty Ezekiel inayoitwa ‘MWAJUMA’.
Kwa mujibu wa tovuti ya Bongohood Live, linex ameeleza kuwa  filamu ya Mwajuma inahusu mwanadada aliyekuwa na maisha ya chini akiwa mama ntilie na baadae kuja kufanikiwa na kuanza maisha ya kihuni hususani kubadilisha wanaume kama nguo
Filamu hii inatarajiwa kutoma mwishoni mwa mwezi ujao

Irene Uwoya aonesha tattoo yake mpya iliyopo kiunoni.

Irene Uwoya aonesha tattoo yake mpya iliyopo kiunoni.
Tazama picha mbili (2) za tattoo mpya ya Irene Uwoya iliyopo kiunoni kwake. Hatari sana!

Huyu ndiye Director aliyefukuzwa kazi na Wema Sepetu kwa kufanya uzinzi ndani ya gari

Hivi karibuni kulikuwa na taarifa kuwa mwanadada Wema Sepetu ameamua kumtimua  aliyekuwa director wake maarufu kwa jina la Chid ni ufuska uliokubuhu wa director huyo ambaye alikuwa akitumia magari ya Wema Sepetu kama gest ya kumaliza haja zake. 
Wema aliamua kuchukua maamuzi hayo magumu ili kunusuru kashfa kubwa ambayo ingeweza kuikumba kampuni yake.

Kwa mujibu wa tovuti ya bongoclantz ya kupata taarifa hizo Wema aliamua kumtimua Chid kwenye kampuni yake ili kulinda heshima ya kampuni hiyo ambapo Chid na vijana wengine walikuwa wakitumia gari hiyo kung'olea watoto wakali na kuwachapa ndani ya gari hiyo.

"Hii ilitokana na upendo wa mashabiki kwa Wema na wasichana wengi walikuwa wakiiona ile gari wanaingia wenyewe kwenye gari wakidhani ndani yuko Wema, hivyo ilikuwa ni nafasi nzuri kwa Chid na wenzake kuwamaliza wasichana hao
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Bongowood Live - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website
Proudly powered by Blogger